BAO pekee la kichwa lililowekwa kimiani dakika ya 13 na beki wa kati, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ jana liliiwezesha Yanga kupata ...
BAO pekee la kichwa lililowekwa kimiani dakika ya 13 na beki wa kati, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ jana liliiwezesha Yanga kupata ...
KIUNGO mkabaji wa Azam FC Mcolombia, Ever Meza amesema yupo sehemu sahihi ndani ya kikosi hicho, licha ya changamoto ya namba ...
NEW YORK, MAREKANI: RAPA Sean “Diddy” Combs amegoma kula akiwa gerezani kwa hofu ya kuwekewa sumu, imeelezwa. Rapa huyo kwa ...
EDGAR William ni miongoni mwa maingizo mapya kwenye kikosi cha Fountain Gate msimu huu na tangu msimu huu umeanza tayari ameonyesha ni mshambuliaji hatari kwa kufumania nyavu za wapinzani ...
BAADA ya kukaa nje kwa muda wa takribani miezi 10, nahodha na kiungo wa Azam FC, Sospeter Bajana ameanza mazoezi mepesi ...
MCHEZA gofu mahiri wa Tanzania, Madina Iddi anajiandaa na mashindano ya Afrika ya mchezo huo yatakayofanyika Agadir, Morocco, ...
TIMU ya Taifa ya Kriketi ya Tanzania imeshinda mizunguko 20 bila upinzani mkubwa na kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu ...
KIUNGO wa Singida Black Stars, raia wa Ghana, Emmanuel Keyekeh amesema licha ya kuanza vizuri msimu huu na kikosi hicho, ...
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewajibu Manchester City wanaolalamikia staili yake ya uchezaji, wanajibwaga sana na kupoteza ...
MTOTO wa gwiji wa mpira ameshangaza wengi baada ya kuamua kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 29 baada ya kudai amekinai.
NOMA sana. Linalosemwa ni Vinicius Junior tayari anafahamu atashinda tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka huu, ripoti za kutoka ...